Saturday, April 13, 2013

6:49 AM
Dk 16 Oljoro wanaonekana wamezinduka nao wameanza kutawala kiungo huku wakicheza pasi fupi fupi.

Dk 13 Paul Nonga wa Oljoro anatengewa mpira vizuri na Idd Swaleh lakini shuti lake linatoka nje ya lango la Yanga.

Dk 10 Yanga imetawala mchezo hasa kiungo na imefanya mashambulizi mengi langoni kwa Oljoro.

Dk 5 GOOO....! Nadir Haroub 'Cannavaro' anaipatia Yanga bao la kwanza kwa kichwa akiunga mpira wa kona. YANGA 1-0 OLJORO

3 Simon Msuva wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa Oljoro kipa anaupangua na kuwa kona. Kipa anaumia baada ya kuucheza mpira huo. Mchezo unasimama ili kipa atibiwe.

Dk 1 Juma Abdul wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa JKT Oljoro lakini kipa Lucheke Musa anaudaka mpira. Abdul alipewa pasi na Frank Domayo.

Dk 00 MPIRA UMEANZA!

Young Africans line-up to face JKT Oljoro today
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo 'Chumvi'
9.Didier Kavumbagu
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima
Subs:
1.Yusuph Abdul
2.Shadrack Nsajigwa
3.Oscar Joshua
4.Salum Telela
5.Nurdin Bakari
6.Nizar Khalfani
7.Said Bahanuzi


JKT Oljoro: Lucheke Musa, Yusuf Machogoti, Majaliwa Sadiki, Nurdin Mohamed, Shaibu Nayopa, Salim Mbonde, Karage Mgunda, Emmanuel Memba, Paul Nonga, Idd Swaleh na Hamis Salehe

0 comment.:

Post a Comment