Wednesday, May 29, 2013

4:21 PM
 Kiungo mkabaji kutoka Nigeria, Izdore Modebe Ugochukwu aliyeruka hewani kupiga kichwa katika mazoezi ya Simba SC yaliyoanza rasmi leo kujiandaa na Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame nchini Sudan mwezi ujao. Kiungo huyo ametokea klabu ya Udense FC ya Benin kuja kufanya majaribio Simba SC na kabla ya hapo amesema alichezea timu ya Ila ya kwao, Nigeria.

0 comment.:

Post a Comment