Monday, August 20, 2012

1:04 PM

Timu za Tanzannia bara zinazo julikana yanga sport club na African lyon sport club leo hii zime cheza  mechi ya kirafiki  kwa kujianda na kombe la ligi kuu katika uwanja wa dar-es-salaam,yanga sport club imeibuka naushindi kwa magoli nne bila, yanga4- 0 live match


kikosi cha yanga sport club.

kikosi cha African lyon.

hatari pale langoni mwa african lyon.

mchezaji wa african lyon akimtoka mchezaji wa yanga.

kocha analala mika ...
kocha wa African lyon analalamika sana kwa kipigo hicho angalia picha hapo juu..

0 comment.:

Post a Comment