TAZAMENI PICHAZA,TANZANIA-TAIFA STARS VS ZAMBIA-CHIPOLOPOLO LEO KATIKA UWANJA WA DAR-ES-SALAAM.![]() |
KIKOSI CHA TAIFA STARS-TANZANIA. |
![]() |
KIKOSI CHA ZAMBIA -CHIPOLOPOLO. |
![]() |
UBAO WA MATOKE UKIONESHA TANZANIA1-ZAMBIA 0. |
![]() |
MCHEZAJI WA TANZANIA AKIUWAHI MPIRA MBELE AKIWA MCHEZAJIWA ZAMBIA.. |
![]() |
HATARI LANGONI MWAZAMBIA,MCHEZAJI WA TAIFA STARS AKIJARIBU KUUPIGA MPIRA,MABEKI WA TATU WA KIMZUNGUKA.. |
![]() |
MASHABIKI WA ZAMBIA WAKIISHANGILIA TIMU YAO. |
![]() |
MCHEZAJI WA TAIFA STARS AKIJARIBU KUWATOKA WACHEZAJI WA ZAMBIA,WACHEZAJI WA ZAMBIA WAMEMKATALIA.... |
![]() |
MCHEZAJI WA ZAMBIA AKIJARIBU KUUWOKOA,NA AKATELEZA NAO.. |
![]() |
MASHABIKI WATAIFA STARS NI FULL SHANGWE TU. |
![]() |
KABLA YA MECHI MAWAZIRI WAZAMBIA WAKIWASALIMIA WATANZANIA... |
![]() |
HATARI LA NGONI MWA ZAMBIA TENA..... |
![]() |
HAPA NI FURAHA KWELI KWELI........... |
![]() |
MASHABIKI WAKIMSHANGILIA MCHEZAJI MRISHO NGASA KWA KUIFUNGA ZAMBIA 1-0 |
![]() |
HATARI MRISHO KHALFAN NGASA.... |
![]() |
MRISHO KHALFAN NGASA AKISHANGILIA GOLI LAKE NA WA CHEZAJI WA TAIFASTARS.. |
![]() |
KOCHA WA TIMU YA TAIFA STARS AKIMUAMBIA KOCHA WA ZAMBIA,YOUR TEAM IS HAVING BAD DEFENDER... |
![]() |
MPIRA UMEISHA WACHEZAJI WAKIONDOKA UWANJANI...... |
0 comment.:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.