Wednesday, August 15, 2012

2:15 PM
Timu ya Tanzania inayojulikana kwa jina la coastal union leo wamefungwa na timu ya mombasa ya Kenya union2 mombasa3 coastal union hawakujipanga vizuri inawezekana hata hivyo Mchezo ulikuwa mzuri, wenye ushindani, Coastal wamerudi Tanga baada ya mechi, sisi tunasafiri kuelekea Nairobi kwa ajili ya mechi ya Jumamosi ya Ligi na Iron Strikers,” alisema beki wa Bandari, Mtanzania, David Naftali alipozungumza na BIN ZUBEIRY kutoka Mombasa jioni hii

0 comment.:

Post a Comment