Sunday, July 7, 2013

6:10 PM

WABUNGE WA YANGA WAIFUNGA TIMU YA WABUNGE WA SIMBA KWA PENATI 4-3

Mgeni wa rasmi wa tamasha la matumaini Raisi Jakaya Kikwete akiongozana na marefa kuingia uwanjani tayari kukagua timu za wabunge wa Simba na Yanga

Wimbo wa taifa

JK akisalimiana na timu ya wabunge wa Simba

Mgeni rasmi akisalimiana na upande wa wabunge wa Yanga 
Wabunge wa timu ya Yanga wwakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe kwa kuifunga timu ya wabunge wa Simba kwa penati 4-3.

BONGO FLEVA WAIKUNG'UTA TENA BONGO MOVIE KWENYE TAMASHA LA MATUMAINI

Bongo Movie kushoto na Bongo Flava kulia wakiiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza mechi

Godi Muhokozi wa timu ya Bongo flava akishangilia goli alilolifunga katika kipindi cha kwanza. Pembeni yake ni msanii Abdul Kiba

Msanii wa Wanaume Halisi KR-Mula akishangilia na washabiki wa Bongo Flava..timu hiyo ilishinda 2-0 dhidi ya Bongo movie katika mikwaju ya penati.  


Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Bongo Flava msanii H-Baba.

0 comment.:

Post a Comment